Kiswahili Glossary


Swahili WordPart of SpeechEnglish Translation
Gani?interrogativeWhich?
Nani?interrogativeWho?
Wapi?interrogativeWhere?
chainountea
chuo kikuu cha…noununiversity of…
daktarinouna doctor
hospitalinouna hospital
jimbonouna state
kijijinouna village
mjinouna town; a city
mkoanouna province
mwalimunouna teacher
mwanafunzinouna student
nchinouna country
UingerezanounEngland
katikaprepositionin; at
mimipronounI
wewepronounyou (sg.)
yeyepronounhe; she
sisipronounwe
nyinyipronounyou (pl.)
waopronounthey
-ishiverbto live
-itwaverbto be called
-kaaverbto stay; inhabit; reside in
-semaverbto speak
-somaverbto study
-tokaverbto come
Habari za asubuhi?verbGood morning?
Habari za jioni?verbGood evening?
Habari za mchana?verbGood afternoon?
Hapana.verbNo.
Jioni njema.verbHave a good evening.
Karibu chai.verbCome in and have some tea.
Kwaheri!verbGoodbye!
Mimi ni mzaliwa wa…verbI am a native of...
Mimi ni...verbI am…
Mimi ninaishi katika jimbo la…verbI live in the state of…
Mimi ninaishi katika kijiji cha…verbI live in the village of…
Mimi ninaishi katika mji wa…verbI live in the city of…
Mimi ninaishi katika nchi ya...verbI live in the country of…
Mimi ninatoka jimbo la…verbI come from the state of…
Mimi ninatoka mji wa…verbI come from the city of…
Mimi ninatoka mkoa wa…verbI come from the province of…
Mimi ninatoka nchi ya…verbI come from the country of…
Ndiyo.verbYes.
Unaishi wapi?verbWhere do you live/reside?
Unatoka katika nchi gani?verbWhat country do you come from?
Unatoka wapi?verbWhere do you come from?
Yeye ni nani?verbWho is he/she?
-dogoadjectivelittle; small
baliconjunctionbut; on the contrary
lakiniconjunctionbut
KiafrikanalanguageAfrikaans
KiajemilanguagePersian
KiarabulanguageArabic
KibamanalanguageBambara; Bamana
KibukusulanguageBukusu
KichagalanguageChaga
KichinalanguageChinese
KifaransalanguageFrench
KihabeshilanguageAmharic
KihausalanguageHausa
KihindilanguageHindi
KihispanialanguageSpanish
KiholanzilanguageDutch
KiingerezalanguageEnglish
KiitalianolanguageItalian
KijapanilanguageJapanese
KijerumanilanguageGerman
KimerulanguageMeru
KinyalalanguageNyala
KinyarwandalanguageRwandese
KirenolanguagePortuguese
KirusilanguageRussian
KisamburulanguageSamburu
KisomalilanguageSomali
KisukumalanguageSukuma
KiswahililanguageSwahili
KiturukilanguageTurkish
KiwoloflanguageWolof
KiyahudilanguageHebrew
KiyorubalanguageYoruba
Afrika MasharikinounEast Africa
afya ya jamiinounpublic health
anthropolojianounanthropology
darasanounclassroom
familianounfamily
isimu ya lughanounlinguistics
jiji la…nouncity of...
kaunti ya…nounthe county of...
MarekaninounUnited States of America
Mmarekaninouna citizen of the United States of America
Mtanzanianouna Tanzanian
mwanafunzinounstudent
TanzanianounTanzania
Uingerezanounthe United Kingdom; England
utamaduninounculture
walimunounteachers
kwaprepositionfor; by
-fundishaverbto teach; instruct
-kaaverbto live
-pendaverbto like
-semaverbto speak
-somaverbto study
-tokaverbto come from
Hatujambo!verbWe are fine. (response to Hamjambo)
Karibuni darasani!verbWelcome to class!
Ninasema lugha za...verbI speak the language of...
Afrika KusinicountrySouth Africa
BotswanacountryBotswana
BurundicountryBurundi
KanadacountryCanada
KenyacountryKenya
MalicountryMali
Marekani (Amerika)countryAmerica (United States of America)
MeksikocountryMexico
MisricountryEgypt
MsumbijicountryMozambique
NigeriacountryNigeria
PolandcountryPoland
RwandacountryRwanda
SenegalcountrySenegal
SomaliacountrySomalia
TanzaniacountryTanzania
UbeljijicountryBelgium
UchinacountryChina
UfaransacountryFrance
UgirikicountryGreece
UhabeshicountryEthiopia
UhispaniacountrySpain
UholanzicountryThe Netherlands (Holland)
UingerezacountryThe United Kingdom; England
UjapanicountryJapan
UjerumanicountryGermany
UrenocountryPortugal
UrusicountryRussia
UswisicountrySwitzerland
UturukicountryTurkey
UyahudicountryIsrael
UyorodanicountryJordan
kazinounwork; job
kozinouncourse; course of study
mfanonounexample
mji mkuunouncapital city
mtunounperson
shahadanoundegree
shahada ya kwanzanounundergraduate degree
shahada ya uzamilinounpostgraduate degree
afya ya jamiisubjectpublic health
akiolojiasubjectarchaeology
anthropolojiasubjectanthropology
biasharasubjectbusiness
biolojiasubjectbiology
botaniasubjectbotany
dinisubjectreligion
elimusubjecteducation
elimu ya kompyutasubjectcomputer science
elimu ya mawasilianosubjectcommunication studies
elimu ya mazingirasubjectenvironmental science
elimu ya siasasubjectpolitical science
falsafasubjectphilosophy
fasihisubjectliterature
fizikiasubjectphysics
hesabusubjectarithmetic
hisabatisubjectmath
historiasubjecthistory
isimu ya lughasubjectlinguistics
jiografiasubjectgeography
jiolojiasubjectgeology
kemiasubjectchemistry
masomo ya KiafrikasubjectAfrican studies
masomo ya wanawakesubjectWomen’s studies
mipango ya mijisubjecturban planning
muzikisubjectmusic
saikolojiasubjectpsychology
sanaa za maonyeshosubjectperforming arts
sheriasubjectlaw
sosholojiasubjectsociology
uandishi wa habarisubjectjournalism
uchumisubjecteconomics
udaktarisubjectmedicine
uhandisisubjectengineering
unesisubjectnursing
uongozisubjectleadership
usanifu majengosubjectarchitecture
-fanyaverbto do
-fanya utafitiverbto do research
-somaverbto study
-takaverbto want; to wish
Kwa nini unasoma…?verbWhy are you studying…?
Mimi ninasoma... kwa sababu…verbI am studying… because...
Ninasoma…verbI study…; I am studying…
afyanounhealth
mawasilianonouncommunication
nambarinounnumber
nchininounin the country of…
simunounphone
0 sifurinumberzero
1 mojanumberone
2 mbilinumbertwo
3 tatunumberthree
4 nnenumberfour
5 tanonumberfive
6 sitanumbersix
7 sabanumberseven
8 nanenumbereight
9 tisanumbernine
10 kuminumberten
20 ishirininumbertwenty
30 thelathininumberthirty
40 arobaininumberforty
50 hamsininumberfifty
60 sitininumbersixty
70 sabininumberseventy
80 themanininumbereighty
90 tisininumberninety
100 mia mojanumberone hundred
-badilishaverbto exchange
-paverbto give
-wasilianaverbto communicate
-hifadhi; wekaverbto save
yakopossessive pronounyour
yangupossessive pronounmy
Nambari yako ya simu ni gani?possessive pronounWhat is your cell phone number?
Ningependa kuhifadhi nambari yako ya simu.possessive pronounI would like to save your phone number.
Ningependa kupata nambari yako ya simu.possessive pronounI would like to get your cell phone number.
Tafadhali rudia nambari yako ya simu.possessive pronounPlease repeat your phone number again.